SAA 24 ZA MATESO YA BWANA WETU YESU KRISTO

SAA 24 ZA MATESO YA BWANA WETU YESU KRISTO

Precio habitual
€15,00
Precio de venta
€15,00
Precio habitual
Agotado
Precio unitario
por 
Impuesto incluido.

Idioma: Suajili - Las horas de la pasión de nuestro Señor Jesucristo en idioma suajili - Kazi hii, iliyoandikwa na Mtumishi wa Mungu Luisa Piccarreta kati ya mwaka 1913 na Mwaka 1914, imekuwa ikipendwa na kuungwa mkono mwaka hata mwaka, siyo tu na Mtakatifu Papa Pío Uchapishaji na utoaji wa vijitabu uliorudiwa rudiwa katika miaka 1915, 1916, 1917, na 1924 ulikuwa ukiambatana na kutajirishwa kwa Imprimatur za Mhashamu Askofu Giuseppe M. Leo, Askofu wa TRANI-BISCEGLIE. Na utekelezaji wa kazi hiyo ulikuwa unasimamiwa daima na kuratibiwa kwa uangalifu na umakini mkubwa kabisa wa Mtakatifu Padre Annibale Maria Di Francia. Na kwa bahati kabisa ilipofika tarehe 4 Machi 1997, tulipewa kibali rasmi cha Nihil Obstat kutoka kwa Mhashamu Askofu Carmelo Cassati, Askofu wa TRANI.