Bikira Maria Katika Ufalme wa Utashi wa Mungu - Suajili

Bikira Maria Katika Ufalme wa Utashi wa Mungu - Suajili

Precio habitual
€8,00
Precio de venta
€8,00
Precio habitual
Agotado
Precio unitario
por 
Impuesto incluido.

La Virgen en el reino de la Divina Voluntad en lengua swahili

Idioma: Suajili - Makala ya asilia ya andiko hili la Mtumishi wa Mungu
Luisa Piccarreta linaonyesha Tarehe 6 de mayo de 1930. Ni mkusanyo
wa Fikara 31 kwa ajili ya siku zote za mwezi Mei. fikara
nyingine zilipatikana kwa peke yake na kwa kipindi tofauti.
Fikara hizi zinaleta matukio na mafumbo mengine ya maisha ya
Bikira Mtakatifu sana.
Kulikuwa na Matoleo matatu ya Kitabu Hiki yakiwa
yameratibiwa na kuchapishwa na Padre Benedetto Calvi
Aliyekuwa ni Padre mwungamishi wa mwisho wa Luisa
Piccarreta.
- Toleo la Kwanza (1932), lilibeba kichwa hiki: "Bikira
María Katika Ufalme wa Utashi wa Mungu " - Imprimatur ya
Makao Makuu ya kiaskofu ya Montepulciano, tarehe 30 Machi
1932. Sahihi ni ya Askofu Giuseppe, Askofu wa Montepulciano.