SAA 24 ZA MATESO YA BWANA WETU YESU KRISTO

SAA 24 ZA MATESO YA BWANA WETU YESU KRISTO

Prezzo di listino
€15,00
Prezzo scontato
€15,00
Prezzo di listino
Esaurito
Prezzo unitario
per 
Imposte incluse.

Language: Swahili - The hours of the passion of our Lord Jesus Christ in Swahili language - Kazi hii, iliyoandikwa na Mtumishi wa Mungu Luisa Piccarreta kati ya mwaka 1913 na Mwaka 1914, imekuwa ikipendwa na kuungwa mkono mwaka hata mwaka, siyo tu na Mtakatifu Papa Pius X, lakini pia na viongozi wengi wa Kanisa ambao wamekuwa wakidhihirisha ridhaa yao kwa njia ya vibali rasmi vya Imprimatur walizokuwa wakitoa mara kwa mara wakati wa kuchapisha na kuvitoa vijitabu vya kazi hii. Uchapishaji na utoaji wa vijitabu uliorudiwa rudiwa katika miaka 1915, 1916, 1917, na 1924 ulikuwa ukiambatana na kutajirishwa kwa Imprimatur za Mhashamu Askofu Giuseppe M. Leo, Askofu wa TRANI-BISCEGLIE. Na utekelezaji wa kazi hiyo ulikuwa unasimamiwa daima na kuratibiwa kwa uangalifu na umakini mkubwa kabisa wa Mtakatifu Padre Annibale Maria Di Francia. Na kwa bahati kabisa ilipofika tarehe 4 Machi 1997, tulipewa kibali rasmi cha Nihil Obstat kutoka kwa Mhashamu Askofu Carmelo Cassati, Askofu wa TRANI.