Bikira Maria Katika Ufalme wa Utashi wa Mungu - Swahili

Bikira Maria Katika Ufalme wa Utashi wa Mungu - Swahili

Preço normal
€8,00
Preço de saldo
€8,00
Preço normal
Esgotado
Preço unitário
por 
Imposto incluído.

The Virgin in the kingdom of the Divine Will in Swahili language

Language: Swahili - Makala ya asilia ya andiko hili la Mtumishi wa Mungu
Luisa Piccarreta linaonyesha Tarehe 6 Mei 1930. Ni mkusanyo
wa Fikara 31 kwa ajili ya siku zote za mwezi Mei. Fikara
nyingine zilipatikana kwa peke yake na kwa kipindi tofauti.
Fikara hizi zinaleta matukio na mafumbo mengine ya maisha ya
Bikira Mtakatifu sana.
Kulikuwa na Matoleo matatu ya Kitabu Hiki yakiwa
yameratibiwa na kuchapishwa na Padre Benedetto Calvi
aliyekuwa ni Padre mwungamishi wa mwisho wa Luisa
Piccarreta.
- Toleo la Kwanza (1932), lilibeba kichwa hiki: " Bikira
Maria Katika Ufalme wa Utashi wa Mungu " - Imprimatur ya
Makao Makuu ya kiaskofu ya Montepulciano, tarehe 30 Machi
1932. Sahihi ni ya Askofu Giuseppe, Askofu wa Montepulciano.