SAA 24 ZA MATESO YA BWANA WETU YESU KRISTO

SAA 24 ZA MATESO YA BWANA WETU YESU KRISTO

Regular price
€15,00
Sale price
€15,00
Regular price
Sold out
Unit price
per 
Tax included.

Language: Swahili - The hours of the passion of our Lord Jesus Christ in Swahili language - Kazi hii, iliyoandikwa na Mtumishi wa Mungu Luisa Piccarreta kati ya mwaka 1913 na Mwaka 1914, imekuwa ikipendwa na kuungwa mkono mwaka hata mwaka, siyo tu na Mtakatifu Papa Pius Uchapishaji na utoaji wa vijitabu uliorudiwa rudiwa katika miaka 1915, 1916, 1917, na 1924 ulikuwa ukiambatana na kutajirishwa kwa Imprimatur za Mhashamu Askofu Giuseppe M. Leo, Askofu wa TRANI-BISCEGLIE. Na utekelezaji wa kazi hiyo ulikuwa unasimamiwa daima na kuratibiwa kwa uangalifu na umakini mkubwa kabisa wa Mtakatifu Padre Annibale Maria Di Francia. Na kwa bahati kabisa ilipofika tarehe 4 Machi 1997, tulipewa kibali rasmi cha Nihil Obstat kutoka kwa Mhashamu Askofu Carmelo Cassati, Askofu wa TRANI.